Loading...

Please wait.

Welcome

QIBLATAIN ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

Kiswahili

Qibltain English Medium Primary School is an educational instituition that provides care and education for both boys and girls in its campuses. We proviede quality mental, physical and spiritual education to the youth, bring the youth together through teamwork in academics, sports and culture regardless of gender, status, race and political ideology

SCHOOL PROFILE
Slide 1
Majengo ya Utawala
Slide 2
Madarasa yetu
Slide 3
Viwanja vya michezo
Slide 4
Shughuli za Nje

About Our School

Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.

Vision & Mission

We proviede quality mental, physical and spiritual education to the youth, bring the youth together through teamwork in academics, sports and culture regardless of gender, status, race, religion and political ideology.

News & Updates

Follow school announcements and send your feedback easily.

Tangazo kwa wazazi wote
Tumeamua kutumia mfumo huu wa platform hii badala ya kutumia magroup yetu ya whatsapp kwa jili ya kupeana taarifa za kila siku na kuangalia mwenendo wa watoto wetu wawapo shuleni pamoja na taarifa za kitaaluma tunaomba kila mmoja aweze kuwa anaingia na kutoa mchango wake kadri awezavyo na kama huwezi kuingia wasiliana na mtu wa IT Atakusaidia moja kwa moja kupitia whatsapp hapo chini
Matembezi ya Beach ya kila wiki
Watoto wa Darasa la kwanza
Watoto wa Darasa la kwanza
Watoto wetu hufanya mazoezi ya kwenda bech na kucheza michezo ya mchangani ikiwa ni sehemu ya kukuza akili na kuboresha uelewa wa mazingira ya kujifunzia
Application Form
Application Form
Usaili kwa mwaka wa masomo 2027 utafanyika mwezi december 2026 pakua formu yako utailipia siku unaileta shuleni kabla ya siku ya usaili.
School Announcements Important school announcements appear directly inside the system quickly.
Easy Communication Users can send feedback quickly through the WhatsApp comment link without hassle.